NESI
mmoja aliambiwa ahudumiwe mgonjwa, akaachiwa maagizo kuwa ikifika saa nane ampe
chakula. Yule nesi kabla ya kufika saa nane akala yeye kile chakula cha mgonjwa
na ilipofika saa nane kasoro, yule ndugu akapiga simu akasema ikifika muda wa
kula umlazimishe huyo mgonjwa ale hicho chakula ndani ya hicho chakula kuna
sumu tumekubaliana wanafamili kuwa afe kwa sababu hatuna pesa za kumpeleka
India.
Nesi
kusikia hivyo akazimia hapohapo.
No comments:
Post a Comment