amechuniana na mama
kiduku yaani kila mtu
kivyake ndani ya nyumba.
siku moja baba kiduku
alipata safari ya kwenda ulaya
safari ilikuwa ni 4:00am alfajiri
baba kiduku akaamua
kuandika barua
Baba: mke wangu naomba
niamshe 3:30am nina safari ya
kwenda ulaya
mama kiduku akaiona na kuitikia katika
moyo sawa baba kiduku.
ilipo fika muda mama akaamka na
kuchukua kalamu na karatsi na
kuandika, "amka baba kiduku
huu ndio muda wa kusafiri" halafu
akaiweka mezani.
ilipofika saa7:00 baba amechelwa
safari akamwambia mkewe
mbona ujaniamsha kama nilivyo
kuambia? mama : na mimi
nilikuandikia
barua mbona ukuamka?
No comments:
Post a Comment