alimtokea dem mzungu
akamwambia,"I love you" Mzungu
akajibu "I love too" Jamaa
akamwambia "I love you three"
Mzungu akaduwaa akamuuliza
"what for?" Jamaa akasema "what
five" Mzungu akashangaa
akamuuliza,"are you sick?" Teja
akamjibu "are you seven" mzungu kuona hivyo ikabidi ajiondokee
tu
No comments:
Post a Comment