Akafikia kuoa. Katika ya siku za mwanzo baada ya harusi, siku moja kama
kawaida yake alijikojolea.
Akapiga kelele “Mungu wangu eee”.
Mke wake akashtuka, akamuuliza: Vipi mume wangu?
Mume: Hivi mke wangu ungeota unataka kuliwa na mamba, chui na simba kwa wakati
mmoja ungefanyaje?
Mke: Ningezimia kabisa.
Mume: Basi
mwenzio sijazimia nimejikojolea
No comments:
Post a Comment