mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Wednesday, January 15, 2014

DAH..! ILIKUWA BAHATI YANGU HII!

Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo halafu maarufu sana;
MKAKA: Samahani dada sijui saa ngapi?
MDADA: Nani kakwambia saa yangu ndio ya kuwasomea watu muda?
MKAKA: Samahani sana....jamaa akachukua Galaxy yake akapiga simu....aisee saa ngapi saa hizi? mi ndio nimeingia toka USA nataka kurekibisha saa yangu ifuate muda wa huku. Na wewe uwahi kuchukua iPad nimekuja nazo tatu tu za zawadi. Halafu nitafutie demu mzuri nimwagie midola niliyokuja nayo kutoka USA, ok ciao tuonane badae.
MDADA: Kaka samahani saa hizi ni saa..

MKAKA: Achana na mimi wewe..!
 MDADA;  (kimoyo moyo akajisemea) dah..! ilikuwa bahati yangu hii!

No comments:

Post a Comment