mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, January 04, 2014

DINI HAIRUHUSU WEWE..!

Dada mmoja kachoka na vituko vya mume wake akamwambia:
Bora ningeolewa na shetani kuliko mwanaume kama wewe.
Jamaa akamjibu: Dini hairuhusu mtu kuolewa na ndugu yake.

No comments:

Post a Comment