mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, January 04, 2014

DOWEZI LA VOCHA LAUMBUKA..!

Kwenye basi mzee akawa amenunua vocha ya simu akataka kumtumia mwanawe, akampigia simu;
MZEE: Halo nimekununulia vocha ya TIGO, haya andika namba zake ni 2765 3875 3987 3789. Narudia tena 2765 3875 3987 3789 haya. Ghafla tukasikia sauti toka mwisho wa basi
ABIRIA: Mzee namba hizo sio zenyewe haziingii..! aha

No comments:

Post a Comment