Mtoto: Mama leo tulipokuwa kwenye daladala na baba, si
akaniambia nisimame nilipokaa kusudi akae Anti.
Mama: Safi sana mwanangu, baba yako anakufundisha adabu nzuri, kwa hiyo kumbuka kila mara wakubwa wakija unawaachia kiti.
Mtoto: Sikuwaachia kiti, baba alikuwa amenipakata ndio
akaniambia nisimame Anti akae.
Mama: Enheeee..! hebu rudia tena sijasikia vizuri..!
No comments:
Post a Comment