Jamaa alikua anapiga chabo kwenye pepa kutoka kwa mwanafunzi aliyekaa
mbele yake. lakini mwalimu aligundua wakati akisahisha mitihani hiyo.
je unajua ni kipi kilimfanya ticha ashtukie? swali la kwanza hadi la 3 jamaa alikopi vizuri kama alivyoandika
mwenzie, kimbembe kikaja swali la 4 ambapo mwenzake akajaza 'sijui' jamaa alipoona hivyo nae akajaza ''hata mimi sijui''
No comments:
Post a Comment