Jamaa mmoja alimtia mimba mwanafunzi.
MWANAFUNZI: Mimba sitaitoa baby na usijali kuhusu kwetu kwani tuna pesa nyingi mpenzi wangu.
JAMAA: Kwani wazazi wako wanakazi gani?
MWANAFUNZI: Mama RPC, Kaka HAKIMU na BABA MKUU WA GEREZA, dada MWANASHERIA.
JAMAA: Kimoyo moyo (JELA ileeeee!)
No comments:
Post a Comment