Familia moja ilivamiwa na majambazi, ambao walipanga kuwaua wote lakini kabla ya kuwaua waliwauliza majina yao kwanza.
Jambazi: Wee unaitwa nani? Walianza kumuuliza mwanamke.
Mke: Naitwa Elizabeth
Jambazi: Umesalimika maana jina lako ni kama la mama yangu.
Jambazi: Eeeh! Na wewe? Walimuuliza mwanaume.
Mume: Naitwa John lakini kazini wananiita. Elizabeth.
No comments:
Post a Comment