mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Sunday, January 19, 2014

KUMBE WEWE NDIYO RELAX?

Kuna jamaa mmoja alikuwa yuko beach ana breeze. Akapita mzungu akamwambia "are you relax" yule jamaa hakumuelewa akamjibu "no". Akapita mwingine,"are you relax" jamaa, "no". Akaja mwingine akamuuliza hivyo hivyo akamjibu,"no". Akaona anakerwa akaondoka kwenda sehemu nyingine.. Akamkuta mzungu, akamuuliza "are you relax" mzungu akajibu "yes". Jamaa kwa hasira akampiga makofi mawili, "kumbe wewe ndiyo relax? wazungu wenzako wanakutafuta we' umejificha huku"!
Jamaa alidhani anaambiwa wewe ni relax.. Hahaha!

No comments:

Post a Comment