mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Sunday, January 05, 2014

MH..!

Jamaa katoka kanisani kufika home akamkumbatia Mkewe na Kumnyanyua juu.
Mke: Hee mume wangu leo umeamua kunionyesha mapenzi ya dhati hadi kunibeba?
Mume: Aah..! wapi Mchungaji amesema tunyanyue matatizo yetu juu tumuonyeshe MUNGU...!

No comments:

Post a Comment