MTOTO:" Baba kesho ni birthday ya demu wangu,sijui nimpe zawadi gani" BABA: "Kwani demu mwenyewe yukoje?" MTOTO:" Mtoto bomba miguu ya bia ana sura kama Rihanna sauti nzuri kama kasuku Ni mrefu kiasi, hips za kumwaga hicho kifua ndio usiseme!!...nywele ndefu halafu ana dimples!"
BABA:" hoooo.! sasa huyo Zawadi nzuri mpe namba yangu ya simu!!
MTOTO; (huku akijisemea ki' moyo moyo) mh..! harafu awe mama.
No comments:
Post a Comment