TICHA; "Punda ni mnyama anaefugwa
nyumbani,lakini akiwa mwituni
anaitwa pundamilia....Je sungura anayeishi mwituni
anaitwaje?" MWANAFUNZI; "Sunguramilia."
TICHA; "Rais wa kwanza wa kenya
aliitwa kenyatta...Je rais wa kwanza wa Tanzania
aliitwaje? "MWANAFUNZI; "tanzaniatta."
TICHA; "Kuku yuko katika jamii ya ndege..Je
samaki yuko katika jamii ya nini? "MWANAFUNZI; "meli"
TICHA: "Ukiwa na mbuzi 10, wezi wakiwaiba
utabaki na nini? MWANAFUNZI: "Hasira nyingi sana!"
No comments:
Post a Comment