mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Wednesday, January 22, 2014

SIKIA KALI HII..!

Yahaya kapata trip ya kikazi ,dodoma kufika akaamua kumtafuta mpenzi wake wa UDOM ili apate
pa kujificha, kesho yake mrembo akamuomba amwazime laki 3, Yahaya akampa A.T.M Kadi na Pin na kumwambia atumie vyovyote anavyotaka,kumbe A.T.M ina elfu 5 tu, kabla hajashitukiwa akakwea gari ili arudi dar, njiani simu ikakata chaji, kafika home kaweka kwenye chaji akalala kuamka asubuhi anakuta sms kutoka kwa boss wake ikisema "Yahaya nimeweka milioni 10 kwenye akaunti namba yako,
usirudi kwanza dar mpaka uwalipe mafundi".Yahaya akazimia hapo hapo..!

No comments:

Post a Comment