mambo
WEKA
SULUM
Pages
Home
Tuesday, January 07, 2014
SIO KILA KING'AACHO NI DHAHABU
Jamaa
mmoja alimuona mhudumu wa ndege mrembo akachachawa
akaanzisha story
. Jamaa;
mrembo sijui unaitwa nan?
Mrembo;
Naitwa
Anna Benz
jamaa-wow! una undugu na
benzi?
Mrembo
; hapana tunauzwa
bei moja..!
jamaa hakuongea tena
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment