MKE: mbona unanukia pafyum ya kike?
MUME: Kuna mwanamke tulikua tumeminyana ndani ya dala dala
MKE: na hiyo lipstiki?
MUME: nilikumbatiana na wageni kutoka zambia walitembelea ofisini kwetu
MKE: na ile kondom iliyotumika ndani ya mfuko wa suruali?
MUME: bwana eee..!! acha maswali ya kijinga mie nina usingizi nalala
MKE: lazima niulize mie huwa nahakikisha nimeacha kila kitu huko huko ndio narudi nyumbani
MUME: umesema nini wewe?
MKE: bwana eee..!! acha maswali ya kijinga nalala nina usingizi.
No comments:
Post a Comment