KACHICHI alikuwa
kwenye basi na abiria wengi mara majambazi wakavamia wakawaambia abiria usipotoa pesa unachomwa sindano
ya damu ya ukimwi,Watu wakatoa lakini KACHICHI akakataa kutoa akachomwa
sindano.Abiria wenzie wakamuuliza mbona umekubali kuchomwa ile sindano? KACHICHI akajibu "WALIKUWA HAWAJUI KAMA NIMEVAA KONDOMU..!"
ABIRIA; mama weeeeeeeee..!!
ABIRIA; mama weeeeeeeee..!!
No comments:
Post a Comment