mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, February 22, 2014

HAI BEIBI..!

Sista duu kasimama kituoni kwa 
pozi zote mara daladala
likatokea!..akaismamisha kwa mnato
na kupanda!...
Konda: "hai beibi"
Sista duu: (kimya) huku akitingisha
kichwa
Konda: "hai beibi"
Sista duu: "hebu ntolee kelele,kwani
salamu lazima"
Konda: "sijakusalimia nmekwambia
daladala haibebi"

No comments:

Post a Comment