Hizi touch screen zinavyosumbua watu mdada kanunua simu mpya Screen touch
Mdada: Bebi mambwo?
Jamaa: Poa nambie
Mdada: Vipw umelalwa?
Jamaa: Unasemaje?
Mdada: Nauliza umelwala?
Jamaa: Mmmmmh..! sijalala baby hata usingizi sina
Mdada: Mim menyew cjalwala kuma mijitu inapiga kelelwe hapa nje kwetu hadi inaboowa
Jamaa! Nini?
Mdada: kuna kelwele hapa nje ya numba yetu usingizwi hakuna kabiswa
Jamaa: hahahaa pole baby
Mdada: Bwebi mbona unanichekwa sasa?
Jamaa: Jaribu kuandika vizuri hunny
Mdada: Hehehwehwe,si unajuwa cmu mupya halafu sikirini tachi kila nikibinya elufi hii inakunya na nyingine. Pwelo bebwi wangu
Jamaa: enheeeee poa baby
No comments:
Post a Comment