JOHN: kafungua gazeti kakuta tangazo kuwa amekufa, akampigia simu rafiki yake mpenzi PASCAL,
JOHN: Aisee umesoma gazeti la leo? Wanasema eti nimekufa jana huko mwanza, aisee inasikitisha.
PASCAL: Ndio nimesoma pole sana bwana, kwa hiyo hii simu unanipigia ukiwa wapi saa hizi, mbinguni au kaburini? hivi uliondoka na ile simu yako ya nokia au Samsung?
No comments:
Post a Comment