BOSI: karibu kijana nimepitia barua yako ya kuomba kazi hapa..kwanza una umri gani!?
ALLY: nina miaka 26 bosi.
BOSI: oke ila kwa taratibu zetu hapa hatumpi mtu ajira mpaka alete BIRTH CERTIFICATE
ALLY: hiko cheti sina kwanza mimi sijasomea mambo hayo kabisaaa..!.
No comments:
Post a Comment