mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, February 22, 2014

MKEO HAJUI KISWAHILI VIZURI

MLEVI 1:Niambie ukweli, wewe ni kama ndugu yangu, hivi kwa nini watu wa mtaa huu wanamfuatafuata sana mke wangu?
MLEVI 2: Unasikia braza mi nitakwambia ukweli. Mkeo ana matatizo hajui kiswahili vizuri 

MLEVI 1: Toka lini? Mke wangu anajua kiswahili vizuri sana
MLEVI 2: Kwa kweli braza mke wako anajua maneno mengine ya kiswahili lakini hajui neno hapana.

MLEVI 1: mamaaaaa..!

No comments:

Post a Comment