mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Wednesday, February 12, 2014

MOCHWARI NI KAZINI KWAKE

Jamaa alikuwa anafanya kazi mochwari, siku hiyo akaamka na bonge ya homa, akaenda na mkewe hospitali wakati anapimwa damu na nesi, mkewe akaona itakuwa vizuri kutaarifu kazini kwake kuwa anaumwa akamuuliza mumewe; 
MKE: Vipi niwataarifu mochwari? 
NESI: Ehe..! mwanamke una roho mbaya wewe, ondoa uchuro wako kwani mumeo kafa?
MKE: mochwari ni kazini kwake
NESI: enheee..! 

No comments:

Post a Comment