mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Wednesday, February 19, 2014

NACHEKA KI' VIBRATION ILI NISIWASUMBUE

Jamaa wako kwenye kikao cha harusi,pembeni yao kuna jamaa anasoma gazeti huku anacheka kwa sauti kiasi kwamba anavuruga tension kwenye kikao,mwenyekiti akaamua kwenda kumuomba jamaa apunguze sauti na jamaa akawaelewa.baada ya muda jamaa akaanza kutetemeka kwa nguvu kama mtu mwenye malaria, mwenyekiti kuona vile akamfata tena na kumuuliza;kijana vipi mbona unatetemeka hivyo kulikonii? Jamaa akajibu ''hapana niko sawa,nimeamua kucheka kivibration ili nisiwasumbue'',mwenyekiti hoii,

No comments:

Post a Comment