mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Saturday, February 22, 2014

NI MAPACHA SEMA WAMELEWA SANA

Jamaa wawili walikuwa wanakunywa Bar wakaanza kuongea:-  
Jamaa1: Unajua mzee wangu ni Polisi?
Jamaa 2: Weee kweli!? hata mimi mzee wangu ni Polisi!
Jamaa 1: John is my last name.
Jamaa 2: (Akashangaa): Wow! Hata mimi My surname ni John!.
Jamaa 1: I'm 19 years old
Jamaa 2: What?. Usiniambie aisee!
(Akicheeka), I'm 19 years old too.
Jamaa 1: Usiniambia umezaliwa on the 13th of march na ukasoma Songea boyz?.
Jamaa 2: Yes! Nimezaliwa. 13th of march... Usiniambie naota maana nimesoma Songea Boy.
 Wakakumbatiana na huku wakilia...
Jamaa mmoja akashangaa sana akamuuliza mhudumu:-
"hawa vijana wanatatizo gani mbona wanalia?
Mhudumu: "Hawa ni watoto wa Afande John, ni mapacha sema wamelewa sana!".

No comments:

Post a Comment