Yanki mmoja alikuwa na mke wa mtu, tena nyumbani kwa mwanamke yule wakati mwenye mali
yuko kazini. Mvua kubwa ikaanza hali ya hewa ikawa nzuri zaidi na wazinzi hawa wakawa wanafurahi zaidi,
ghafla mke akasikia gari la mumewe, akamwambia mpenzi wake, 'Amka haraka tokea dirishani jamaa
atatuua wote'. Jamaa si akaanza ubishi, eti ohoo.. nitatokaje nje na kuna mvua?, mke akawa mkali,'
Pumbavu mkubwa, akiingia humu ni kifo wewe'. Basi jamaa akachukua nguo zake na kujitosa nje kupitia
dirishani na kutokomoea vichochoroni. Ile anaingia barabara kubwa akakutana na kundi kubwa la watu
wanakimbia mchakamchaka nae akajiunga humo. Jamaa wakawa wanamshangaa, mmoja
akammuuliza,' Mbona unakimbia mchakamchaka uchi?' Muasherati akajibu, 'Unajua huwa napenda
kukimbia hivi inasaidia kiafya'. Akaulizwa tena,'Yaani ndio ukimbie umevaa kondom?'. Jamaa bila
wasiwasi akajibu, 'Hii nimevaa kwa kuwa leo kuna mvua'
No comments:
Post a Comment