mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Sunday, February 16, 2014

TUNATEMBEA UCHI LEO SIKU YA 3 SASA

Kuna baba na mke wake walitoa kali ya mwaka baada ya kwenda hospitali wakiwa uchi kama walivyo zaliwa" daktari akauliza nyinyi mbona mnakuja uchi,machizi nini" baba akajibu tuna mwaka wa 10 hatuna mtoto. tukasikia mficha uchi hazai"ndiyo tukatembea uchi leo siku ya 3. sasa leo nimemleta mke wangu umpime kama kashapata mimba.

No comments:

Post a Comment