mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Wednesday, February 26, 2014

WE' MZEE NI VIATU VYAKO VINANUKA AU?

Demu mkaliiii alikaa na mzee kwenye daladala siti ya nyuma, mzee kavaa viatu vinatema kishenzi (vinanuka) demu kashindwa kuvumilia na kuropoka, "wee mzee ni VIATU vyako vinanuka au?" Mzee akamjibu akasema, "Hapana hebu angalia CHUPI yako labda iko upande mjukuu wangu!"
Yule demu kimyaaaa.
Chezea Wazee wa mjini wewe.

No comments:

Post a Comment