mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Tuesday, March 04, 2014

AHAHAHAHA..! NAKUTANIA.!

MKAKA: Sweety mambo?
MDADA: Poa asante
MKAKA: Samahani dada, mimi ni kijana ambaye nimekuwa nikikufuatilia kwa muda sasa, na nimegundua wewe ni mtu ambaye ningependa uwe mke wangu niishi nawe milele, naomba nikuoe...
MDADA: Haleluya, hatimae sala zangu zimejibu, nimepata taabu sana mimi kaka,nimedanganywa na wanaume wengi nikajitahidi kutumia waganga wengi ili nipate mume haikuwezekana, nikaamua kuokoka , nikafunga sana na kukesha sana na kutoa sadaka sana hakikutokea kitu, nikaamua kujiingiza hata katika klabu za mpira, mwaka mmoja nikawa Yanga mwingine nikawa simba,wapi sikupata mume wa kunioa,
nikajikondesha niwe na shepu yakimiss lakini bure, nikahama toka Moshi nikaenda Tanga na hatimae  kuja Dar haikusaidia, nikajiunga na facebook, twitter, instagram, whatsapp nikaanzisha mpaka blog ya kujieleza natafuta mume,sikupata mume wa kunitamikia atanioa, nikajitahidi kuhudhuria maharusi
mbalimbali bure, hatimae leo maombi yangu yamejibu, asante sana kaka niko tayari hata leo

 kufunga ndoa.
MKAKA: ahahahahaahahaha.. Nakutaniaaaaaaa

No comments:

Post a Comment