Ama kweli UALIMU kazi ya wito MWANAFUNZI mmoja hajui hesabu za kujumlisha wala kutoa Mwalimu katumia njia zote kumuelimisha lakini wapi Ikabidi ajaribu njia hii
Mwalimu: Kwenu mnafuga nini?
Mwanafunzi: Kuku na mbuzi.
Mwalimu: Mbuzi mnao wangapi?
Mwanafunzi: 25
Mwalimu: Mbuzi 25 toa mbuzi 5 watabakia wangapi?
Mwanafunzi: Unawajua mbuzi wetu, au unawasikia? Ukimtoa mmoja tu wote wanatoka.
No comments:
Post a Comment