Changudoa mwenye mimba alienda kliniki akakuta tangazo, KILA MJAMZITO LAZIMA AJE NA BABA WA MTOTO.
CHANGUDOA: Nesi mi changudoa sina mume
NESI: Hapo itakuwa ngumu hatuwezi kukuhudumia. Yaani unataka kusema huwezi kukumbuka nani haswa ndie aliyekutia mimba?
CHANGUDOA: Hivi nesi we ukila maharage unaweza kulitambua lile harage ambalo limekufanya ujambe?
NESI: Ehee..! haya dada njoo tukupime
No comments:
Post a Comment