mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Monday, March 03, 2014

FAMILIA YANGU YOTE INAKATAA NISIKUOE

JOHN: Baby itakuwa ngumu mimi kukuoa,
LUCY: kwa nini baby?
JOHN:familia yangu yote inakataa
LUCY: Yaani mwanaume mzima unakataliwa kuoa na familia yako na unashindwa hata kujitetea. Ina maana hunipendi wewe.!
JOHN: Nakupenda sana baby wangu.
LUCY: Nani hasa kwenye familia yako anayeweka vikwazo nikajaribu kumuona
JOHN: Mke wangu na watoto wetu wote tisa
LUCY: mamaaa wee kumbe una mke? 

No comments:

Post a Comment