FRIJI INAUZWA LAKI 3
Jamaa
alinunua friji jipya, akawaza namna ya kuondokana na lile la zamani,
basi akaliweka nje ya nyumba yake na kuandika kibao ANAYETAKA KUCHUKUA
ACHUKUE BURE, watu wakawa wanapita wanafungua lakini kila mtu akawa
anaogopa kuchukua maana hakuna aliyeamini mtu anaweza akagawa friji zima
bure. Baada ya kuona wiki imepita halijachukuliwa, akaandika FRIJI
INAUZWA LAKI 3, usiku uleule likaibiwa
No comments:
Post a Comment