Sugar mummy kakutana na kiserengeti boy cha nguvu, akaona kapata bwana smart na handsome. Akamtoa out, wakala, wakanywa. baada ya chakula safi vinywaji kwa wingi, hatimaye wakiwa hoi kwa ulevi sugar mammy akaondoka na serengeti boy wake mpaka nyumbani kwake. Wakiwa chumbani wamepumzika;
SUGAR MUMMY: Ninachohitaji sasa ni mwanaume tu
SERENGETI BOY: Hata mimi
SERENGETI BOY: Hata mimi
SUGAR MAMMY: mayoooo..!
No comments:
Post a Comment