HUKO NDANI NI VURUGU TUPU
Jamaa
mmoja alikuwa na watoto wawili akaoa mke mwenye watoto wawili wakaishi
wakapata watoto wawili.siku mmoja jamaa anarudi toka kazini akamkuta mkewe
getini nywele timtim akamuuliza ''kulikoni mke wangu'' mke akajibu huko ndani
vurugu tupu watoto wako wanasaidiana na watoto wangu kuwapiga watoto
wetu.
No comments:
Post a Comment