Mwalimu wa darasa wa juma aliwaambia wanafunzi kuwa atawauliza swali kila mmoja na atakayejibu swali ataondoka
nyumbani.juma kusikia hvyo akachukua begi lake akalitupa dirishani.mwalimu akauliza
MWALIMU: nani katupa begi.
JUMA: "mimi" halafu huyo akaondoka
MWALIMU: dah..! juma kweli we jiniaz
No comments:
Post a Comment