Jamaa kachukua changudoa kaingia nae gest. Katikati ya shughuli
changu kapiga kelele na kuzimia. Wakati jamaa kapanik hajui afanyeje
simu ya changu ikaita, jamaa akapokea..
SAUTI: Haloo..! sikiliza huyo demu uliyemkaba mpaka akazimia ni mtoto wa Mzee mmoja mjeshi, akifa utaipata
JAMAA: Lakini mie sijamfanya kitu, ilikuwa ni mambo yetu tu
SAUTI: Sawa hiyo stori utawambia polisi ngoja niwataarifu
JAMAA: Ngoja kwanza rafiki nisaidie hii ishu
SAUTI: Nitumie laki mbili, tena naweza kukusubiri hata uende ATM, unajua mie ni mfanyabiashara sina haraka.
JAMAA: Sikiliza hata mie ni mfanyabiashara, nawajua jamaa
wachuna ngozi, nikiwauzia mwili fresh kama huu watanilipa milioni mbili
we utachukua milioni yako safi..........ghafla changudoa akazinduka
CHANGU: Mshenzi mkubwa nani achunwe ngozi
JAMAA: kumbe ulikuwa unaleta maigizo hapa
No comments:
Post a Comment