Hadi leo jamaa anawaza atarudi vipi kwake. Kamuaga mkewe anaenda China
kwa ndege ya Malaysia iliyopotea, tena kasindikizwa hadi airport. Kumbe
kazama mtaa wa tatu kwa nyumba ndogo. Sasa ndege imepotea na abiria
wote. Akirudi kwake atajieleza vipi na ndege bado haijaonekana?
patamu hapo!
No comments:
Post a Comment