Jamaa
aliazima simu ya rafiki yake apige simu fulani baada ya simu yake
kuishiwa credit. Katika umbea wake akakuta jina MY HONEY, ambalo
lilikuwa na text nyingi za mapenzi. haraka akaiba ile namba,
baada
ya kurudisha simu akaanza kuchat na MY HONEY wa rafiki yake. Ni wiki ya
tatu sasa jamaa ana mtext dada yake meseji za mapenzi.
No comments:
Post a Comment