Tupo kanisani na sasa ni muda wa kutoa sadaka padri kaamuru kila mtu
atoe sadaka kulingana na uzuri wa mkewe,wengne wameinuka wametoa milioni
wengne laki wengne elfu 80 kuna jamaa kainuka na kutoa shiling mia tano
PADRI-we mbna umetoa mia tano?
JAMAA-yaani padri ungemwona mke wangu ungenirudishia na chenji
.Padri hoiii.
No comments:
Post a Comment