Kuna
jamaa moja alikua bahili sana, mkewe akawa anatamani kununuliwa kitu na mumewe.
siku moja, mkewe akasema ngoja nitumie njia ya kumdanganya pengine
ataninunulia, akamwambia
Mke: mume wangu jana nimeota umeninunulia viatu,
Mume:hata mimi nmeota utavaa hivyo viatu mpaka mwakani,
No comments:
Post a Comment