MKAKA:Hello baby unaiona hii hali ya hewa?
MDADA: Yaanii
MKAKA: Mi nawasha gari nakuja kwako Baby
MDADA: Aise nitafurahi, lakini si unajua leo tarehe ngapi? Siko vizuri,
MKAKA: Kivipi?
MDADA: Niko kwenye siku zangu
MKAKA: Dah..! aisee nilisahau jana nilivyopaki gari kumbe mafuta yalikuwa yameisha kabisaa na sina hela
MDADA: Nakutumia kidogo kwenye m-Pesa
MKAKA: Nilisikia kuna kitu kinagonga kwenye injini nadhani injini imenoki. Its ok ntakuja siku nyingine
MDADA: Unajua nini hata mimi sio kwamba niko kwenye siku zangu ila tarehe zenyewe ndio hizi.
MKAKA: Ahaaaa..! ok basi nitajitahidi niazime gari kwa rafiki yangu nije
MDADA: Ok pitia pharmacy uniletee na towels kinaweza tokea kitu muda wowote
MKAKA: Huyu jamaa nimempigia hapokei simu sijui kwa nini. Basi tena bye kwa leo.
No comments:
Post a Comment