Baba alimuliza mtoto,mbona leo
umeamka alfajiri sana mwanangu?
Mtoto: namuwahi mwalimu wa sambusa
shuleni
Baba: mjinga we! badala ya kuwahi masomo unawahi sambusa?
Mtoto: baba Elimu haina mwisho! lakini sambusa zinaisha saa nne tu.
Baba: hapa mtoto sina!
No comments:
Post a Comment