mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Friday, April 04, 2014

KUMBE WANAFANANA MPAKA UMBUMBUMBU

mshamu na pacha wake kapanya waliingia kwenye bucha; 
mshamu: Naomba lita moja ya kuku wa kizungu......watu waliokuweko walipigwa butwaa kidogo kisha wakaanza kucheka kwa nguvu.kapanya nae akaanza kucheka mpaka machozi yakamtoka
mshamu: Sasa na wewe kapanya unanicheka mwenzio kwa kosa gani? 
kapanya: Nacheka kwa kuwa umeomba lita moja ya kuku, sasa huoni tumesahau kuchukua chupa, Tutawekea wapi?
watu wote ahaaaaaaaa..! kumbe wanafanana mpaka umbumbumbu.

No comments:

Post a Comment