mambo

mambo

WEKA

WEKA

SULUM

SULUM

Pages

Wednesday, April 09, 2014

LINA HABARI MOTOMOTO

Jamaa kanunua gazeti kufika nyumbani kaliweka katika friji mkewe akamuuliza mbona gazeti umeliweka katika friji? jamaa akamwambia mkewe nilipolinunua niliambiwa kwamba lina habari motomoto kwa hiyo nimeliweka katika friji ili zipoe nizisome vizuri.

No comments:

Post a Comment