Jamaa na mkewe walikuwa ghorofani wanagombana
MKE: Mi najirusha nife nimechoka na mambo yako........mke akiwa kafura kwa hasira akakimbilia kujirusha dirishani, mume akamdaka na kumzuia
MKE: Hee maneno mengi kumbe unanipenda hutaki nife?
MUME: Aaaa wapi kulikuwa na gari limebeba magodoro linapita chini, nilikuzuia ili lipite kwanza, sasa unaweza kuruka!

No comments:
Post a Comment