Watalii
wana dharau sana, Mtalii amekodi boti anazunguka nalo kwenye mto
zambezi kuangalia mandhari, akamuuliza kijana anayeongoza boti, "Do you
know Biology, Psychology and Anthropology?" Kijana akajibu "NO" Mtalii
akamwambia "What the hell do you know under the sun? You are useless,
and u'll die with your illiteracy!" baada ya muda boti ikaanza kuzama,
kijana akamwambia mtalii "Do you know kuogelealogy and kusepalogy from
mambalogy? Mtalii akajibu huku ametoa macho "No" kijana akamwambia "You
will kufalogy and mambalogy wil eat your matakology because of your
bad-mdomology, chezea Wabongo we!
No comments:
Post a Comment