MGONJWA : Dokta mi mbaya
DOKTA: Si kweli mi nakuona uko fresh tu
DOKTA: Si kweli mi nakuona uko fresh tu
MGONJWA : Lakini kila mtu ananicheka na miaka yote wanasema mi mbaya
DOKTA: Sikiliza nakuhakikishia kuwa wewe unavutia
MGONJWA:Dokta najua unanifariji tu lakini kiukweli najijua mi mbaya
DOKTA:Achana na maneno ya watu we mwanaume rijali kabisa unafaa hata kwenye matangazo ya mwanaume wa ukweli
MGONJWA:Dokta mi mwanamke bwana
DOKTA: Ehee..! kudaadeki
No comments:
Post a Comment